maporomoko

maporomoko

Tuesday, August 14, 2012

baada ya michezo ya olimpiki kukamili sisi kama ilivyo ada kwamaba ni wa hapahapa hali yetu ilikuwa hivi.

 

chini ni balozi wa tanzania nchini uingereza bwana PETER KALLAGHE akizungumza na baadhi ya wadau wa michezo aliowaalika katika ubalozi wa tanzania nchini humo wakati wa afla ya kuiaga timu ya tanzania iliyoshiriki katika mashindano ya olimpiki. 

No comments:

Post a Comment