Hapa wakubwa wanawasili ndani ya viwanja vya BUKOBA CLUB ambapo mpango mzima ulitake place palepale.
Huu ni mfano tu wa meza za wadau jinsi zilizvyokuwa.Kushoto ni kanali mstaafu Fabiani Masawe baada ya kumkaribisha jembe waziri wa afrika mashariki mhe.Samweli Sita ili afungua DINNA hiyo wadau wapate kuserebleiti.
Jembe baada ya kuambiwa uwanja ni wake akaanza kutoa vitu.
mwenyekiti wa LVRLAC hapa nchini Tanzania DCT Anaotry Amani ambaye pia ni mstahiki meya wa manispaa ya bukoba akapata kuongea neno baada ya kupokea ugeni huu mkubwa.
Huyu mzee kati ni msema chochote ni noma yuko vizuri katika kila lugha.
Muda ukawadia majembe kama ilivyo ada foreni ndio mpango Sita akawa wa kwanza kama mgeni Rasimi.umesema hizi ni BIFU au?
Haaaaaaaaa imetosha weka kidogo.
DCT Anatory katika foreni ya msosi
Ngoma ya kihaya pia ilikuwepo
No comments:
Post a Comment