maporomoko

maporomoko

Tuesday, August 14, 2012

WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA WAPEWA MAFUNZO YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA HUDUMA ZA KIBINADAMU

Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo. SSP Afande Rashid akiuliza maswali juu ya uhusika wa vyombo vya habari katika utoaji huduma za kibinadamu.Media Officer wa ICRC Kenya Lynett Kaman akielezea mahusiaano ya Vyombo vya Habari na huduma za Kibinadamu. Fredrick Katulanda ambaye ni mwandishi mwandamizi wa Mwananchi Communication akifundisha juu ya  wajibu wa vyombo vya habari katika huduma za kibinadamu. Afisa Uhamasishaji Tanzania Red Cross Society, Bi. Stella Marealle akifundisha histori ya Chama Cha Msalaba Mwekundu na uasisi wake. Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo. Mratibu wa mkoa wa Mwanza Pauline Kilele ambaye ni mmoja wa wawezeshaji toka Chama Cha Msalaba Mwekundu akielezea kanuni za chama hicho.Mwenyekiti wa Tanzania Red Cross Society Mwanza akizungumza na washiriki kwenye ufunguzi uliofanyika leo jijini Mwanza na kushirikisha wanahabari Kanda ya Ziwa.

No comments:

Post a Comment