maporomoko

maporomoko

Tuesday, August 14, 2012

VURUGU ZA KIGAMBONI HALI ILIKUWA HIVI!.

Leo mchana kumetokea purukushani na vurugu katika mji wa Kigamboni eneo la Kisota kwa sababu wananchi wanaojishughulisha na uchimbaji kokoto walizuiliwa na Serikali kuendelea na shuguli hiyo.

Wananchi waliokuwa na ghadhabu walifunga barabra kwa mawe na kuwasha matairi barabarani kama inavyoonekana kwenye picha iliyopo hapa, ambayo imepatikana kwenye ukurasa wa facebook wa Dkt. Mkunde Mlay

Inaripotiwa kuwa askari wa kuzuia fujo barabarani, FFU, walikuwa katika eneo husika ili kutuliza ghasia na kurejesha usalama wa raia na mali.Leo mchana kumetokea purukushani na vurugu katika mji wa Kigamboni eneo la Kisota kwa sababu wananchi wanaojishughulisha na uchimbaji kokoto walizuiliwa na Serikali kuendelea na shuguli hiyo.

Wananchi waliokuwa na ghadhabu walifunga barabra kwa mawe na kuwasha matairi barabarani kama inavyoonekana kwenye picha iliyopo hapa, ambayo imepatikana kwenye ukurasa wa facebook wa Dkt. Mkunde Mlay

Inaripotiwa kuwa askari wa kuzuia fujo barabarani, FFU, walikuwa katika eneo husika ili kutuliza ghasia na kurejesha usalama wa raia na mali.

No comments:

Post a Comment