Je?bajeti hiyo ikipita mawazo ya kizazi hiki yatabadilika?jiulize alfu .
Wageni wakisikiliza hotuba ikisomwa na Dkt. Kawambwa (hayupo pichani) Bungeni leo (picha: Picha na Anna Nkinda – Maelezo)
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) akiongea jambo na Mbunge wa Dole, Sylvester Mabumba (kushoto) nje ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma. Dk. Kawambwa amewasilisha leo hotuba ya wizara hiyo ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2012/2013. (picha: Picha na Anna Nkinda – Maelezo)
No comments:
Post a Comment