Katika kuendeleza utalii wa ndani, mdau William Rutta akifahamika sana kwa jina la Willy Kiroyera Tours alitembelea maeneo ya Ishozi Kabyaile na kukutana wajasiliamali wakitegeneza orubisi kutoka kwenye kifaa chake maalum kijulikanacho kwa kihaya Obwato
Kitu cha kwanza ilikuwa kuwaonyesha kuwa Willy anaweza kutegeneza Orutegera na kunywea kwenye majani hayo ya mogomba. Je unajua majani ya migomba yanatumika kwa mara 21 kwa njia tofautI- Inafutata ( oluhompo, ekitegera, omwamvuli, endosho, eshaani yo kulilao, nyingine baadae)
No comments:
Post a Comment